iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mwili mtakatifu wa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Safi Golpaygani umehamishiwa katika Msikiti wa Sheikh Tusi karibu na Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (AS) baada ya kuwasili katika mji mtakatifu wa Najaf.
Habari ID: 3474885    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/03

Ayatullah Safi Golpaygani, mmoja wa Marjaa-Taqlidi katika mji wa Qom hapa nchini Iran amefariki dunia.
Habari ID: 3474876    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01